Msaada please......

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
 
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu...
 
Hahaha nakaaga kama nusu saa napiga story za uongo na kweli then ndukiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…