Msaada please......

Msaada please......

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
 
Hivi inafaa kukaa kwa muda gani baada ya kula kwa jirani yako ndo uondoke ili isionekane hukua na mpango na msosi wake?
Ngoja kwanza, leo nina mpango wa kwenda kula kwa jirani halafu nitakupa jibu...
 
Back
Top Bottom