Msaada please!!

Msaada please!!

MESSI

Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
38
Reaction score
2
HABARI ZA JPILI WAKUU,
ETI IS IT POSSIBLE KWA MWANAMKE MWENYE MZUNGUKO WA HEDHI WA SIKU 28/29 KUPATA MIMBA IWAPO ATAFANYA MAPENZI SIKU YA 23?
naombeni msaada wenu wa kitaalamu na wa kimawazo pia ktk hilo..maana mpnz wangu haoni siku zake leo siku ya pili sasa amekuwa na wasiwasi sana..hali hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom