msaada please

msaada please

Joyceline

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
1,010
Reaction score
167
watu mnapokutana na kuanzisha uhusiano inachukua muda gani mpaka muamue kufunga ndoa?
mnaweza kuwa kwenye uhusiano na mtu baada ya miezi mitatu akwambie anataka mfunge ndoa kwa hiyo muanze maandalizi?

nataka disadvantage na advantage na huwa ni kawaida vitu kama hivi au kunakuwa na tatizo
 
Joyceline
nilikimbilia huku kusoma post yako nikidhani umemegwa na unaomba msaada usimegwe tena.
anyway kuhusu kuamua au kutoamua kuishi NDOANI ni suala la wapendwa wawili kujadili.
Hapa kila mtu atakuja na observations zake ila maamuzi yanapaswa kufikiwa na wawili tu. Ila naamini mkongwe FMES mwenye sauti za umeme atakupa uzoefu wake ktk hili.
 
Ninachoweza kukushauri dada yangu ni take your time as longa as you would like cha muhimu ni wewe kumfahamu vizuri mtu wako. Msijekaa miezi akakwambia tuoane nawe ukakubali bila kuwa na uhakika wa kumfahamu vizuri.

Itakucost maisha
 
Pwent hii JOY...lakini hata kwa wakaka usije kutana na mpenzi siku ya kwanza kwenye ndege akakushauri muoane ukakubali loooh
 
Take time to know her (him) . It is not an overnight thing.

One singer sang this, I think it was Ottis Redding.
 
Hakuna jibu rahisi kwamba ni wakati gani unaweza kuamua sasa mfunge ndoa.
Kuna watu wanatafutiwa wachumba, wanakutana kwa mara ya kwanza siku ya kufunga ndoa. Ndoa hizi zipo zilizodumu sana.

Halafu wako waliochukua muda wa kutosha hadi hata miaka 3,4,5 kufahamiana kabla ya kuoana.Cha ajabu mara baada ya kufunga ndoa ni matatzio matupu hadi ndoa inasambaratika wakati hawajaishi kwenye ndoa hata miaka miwili!

There must be a catch somewhere with this ndoa biz.
 
Joyceline, hakuna muda maalumu wa kuka na mpenzi wako ili mfunge ndoa. yani kwa kifupi ni kuwa hakuna formula ya inayohusu mahusiano ya kimapenzi.

Swali la kizushi, Je wewe umeshawahi kuwa na mpenzi/wapenzi wengine kabla ya huyo unayetaka kufunga nae ndoa???
 
Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.
 
Joyceline
nilikimbilia huku kusoma post yako nikidhani umemegwa na unaomba msaada usimegwe tena.
anyway kuhusu kuamua au kutoamua kuishi NDOANI ni suala la wapendwa wawili kujadili.
Hapa kila mtu atakuja na observations zake ila maamuzi yanapaswa kufikiwa na wawili tu. Ila naamini mkongwe FMES mwenye sauti za umeme atakupa uzoefu wake ktk hili.

najua ungefurahi sana, na ungenipa madongo ya kutosha
 
Swali la kizushi, Je wewe umeshawahi kuwa na mpenzi/wapenzi wengine kabla ya huyo unayetaka kufunga nae ndoa???

Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.

kwa kipindi chote hicho cha miaka minne uliyo kaa na huyo mpenzi ambaye alienda mbali mlishawahi kuzungumza mambo ya kufunga ndoa??
 
Pwent hii JOY...lakini hata kwa wakaka usije kutana na mpenzi siku ya kwanza kwenye ndege akakushauri muoane ukakubali loooh

Masanilo haya mambo ya kutake time nayaelewa sana na nimekuwa naye tangu last year December kwa kweli hana tataizo lakini ni muda mchache sana watu kuamua kuoana japo wengine wanasema hawana tatizo
ni hizi sisi hatukuzungushana tulikutana ndani ya wiki moja tukapendana tukakubaliana baadhi ya mambo na tukayatimiza, kila mmoja aka play party yake.
 
Ngoja niingie jikoni niangalie dada ili niweze kukusaidia kama utakuwa tayari utaweza hata mimi kunisaidia maana mambo ya kunyimana fadhira sio mazuri.
 
Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.

kwa kipindi chote hicho cha miaka minne uliyo kaa na huyo mpenzi ambaye alienda mbali mlishawahi kuzungumza mambo ya kufunga ndoa??

Yes tulishawahi kuzungumza lakini mimi nilikuwa bado na mambo nataka niyatimize nilikuwa sijamaliza shule, sina future na sikutaka niwe tegemezi kwa kila kitu nikamwambia subiri akaniambia poa akaenda huko alikoenda baadae nikasikia anaoa basi.
 
niyatimize nilikuwa sijamaliza shule, sina future na sikutaka niwe tegemezi kwa kila kitu nikamwambia subiri akaniambia poa akaenda huko alikoenda baadae nikasikia anaoa basi

hapa dada ndipo ulipo poteza bahati yako.
Ulikuwa shule ni shule ya msingi au secondary navyo jua vyuoni mtu unaolewa tu na unaendelea na kitabu kama kawa....inaonyesha wewe hukuonyesha njia ndo maana jamaa akachukua mzigo mwingine.
 
daytime dreamer.
chukua muda kujua kama mahusiano yako ni ya kiukweliii au kifisadi ndipo uamue.
 
Unajua wanawake wengi iwa wanakuwa wanataama ya kutaka kuolewa ukimpa ofa hiyo basi hata maswala ya kuuliza huyu jamaa tapeli au vp hana basi yeye ndo kwanza ataongeza upendo mala dufu kwa jamaa kumbe jamaa lengo lake kula mzigo na kuishia.
 
Siyo kwamba nina tamaa hapana na wala siyo kwamba kuna kitu natak kutoka kwake hapana nimeuliza tu nijue, na wal siyo kwamba nahitaji san kuolewa najua ndoa inapagwa na Mungu na mimi ni mkristo kama siku yangu imefika itakuwa tu
 
hapa dada ndipo ulipo poteza bahati yako.
Ulikuwa shule ni shule ya msingi au secondary navyo jua vyuoni mtu unaolewa tu na unaendelea na kitabu kama kawa....inaonyesha wewe hukuonyesha njia ndo maana jamaa akachukua mzigo mwingine.

nilikuwa chuo lakini alikuwa ananiambia niache shule niondoke naye kitu ambacho nisingeweza, niende huko nikishidwa kuendelea itakuwaje? na nilikuwa naishi na single parents ambaye mpaka hapo nilipofikia alihangaika sana so sikutaka kumuangussha mama yangu..
 
Vipi Miaka sita mkipeana is that short enough kujuana vijitabia?
 
Back
Top Bottom