Ninachoweza kukushauri dada yangu ni take your time as longa as you would like cha muhimu ni wewe kumfahamu vizuri mtu wako. Msijekaa miezi akakwambia tuoane nawe ukakubali bila kuwa na uhakika wa kumfahamu vizuri.
Itakucost maisha
It was Percy Sledge Mkuu.Take time to know her (him) . It is not an overnight thing.
One singer sang this, I think it was Ottis Redding.
Swali la kizushi, Je wewe umeshawahi kuwa na mpenzi/wapenzi wengine kabla ya huyo unayetaka kufunga nae ndoa???
Joyceline
nilikimbilia huku kusoma post yako nikidhani umemegwa na unaomba msaada usimegwe tena.
anyway kuhusu kuamua au kutoamua kuishi NDOANI ni suala la wapendwa wawili kujadili.
Hapa kila mtu atakuja na observations zake ila maamuzi yanapaswa kufikiwa na wawili tu. Ila naamini mkongwe FMES mwenye sauti za umeme atakupa uzoefu wake ktk hili.
Swali la kizushi, Je wewe umeshawahi kuwa na mpenzi/wapenzi wengine kabla ya huyo unayetaka kufunga nae ndoa???
Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.
Pwent hii JOY...lakini hata kwa wakaka usije kutana na mpenzi siku ya kwanza kwenye ndege akakushauri muoane ukakubali loooh
Yes nilishwahi kuwa na mpenzi nimekaa nae miaka minne lakini akaja kwenda mbali akoa mtu mwingine, kuhusu swala la kujuana ananiambia tabia hazijifichi hivyo alivyo ndo alivyo na siyo kwamba anaficha makucha.
kwa kipindi chote hicho cha miaka minne uliyo kaa na huyo mpenzi ambaye alienda mbali mlishawahi kuzungumza mambo ya kufunga ndoa??
niyatimize nilikuwa sijamaliza shule, sina future na sikutaka niwe tegemezi kwa kila kitu nikamwambia subiri akaniambia poa akaenda huko alikoenda baadae nikasikia anaoa basi
daytime dreamer.
chukua muda kujua kama mahusiano yako ni ya kiukweliii au kifisadi ndipo uamue.
Unajua wanawake wengi iwa wanakuwa wanataama ya kutaka kuolewa ukimpa ofa hiyo basi hata maswala ya kuuliza huyu jamaa tapeli au vp hana basi yeye ndo kwanza ataongeza upendo mala dufu kwa jamaa kumbe jamaa lengo lake kula mzigo na kuishia.
hapa dada ndipo ulipo poteza bahati yako.
Ulikuwa shule ni shule ya msingi au secondary navyo jua vyuoni mtu unaolewa tu na unaendelea na kitabu kama kawa....inaonyesha wewe hukuonyesha njia ndo maana jamaa akachukua mzigo mwingine.