Msaada Please!

Msaada Please!

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
2,182
Reaction score
1,896
Ni hivi,

Nimefanya biashara na Mr. A pasipokuwa kujua kwamba Mr. A anadaiwa na Mr. B ambako ndiko biashara tuliyofanya inakopitia. Baada ya Mr. A kunizungusha sana kuhusu amana yangu nikaona nipeleleze kulikoni. Nimekuja kugundua kuwa kumbe Mr. B anamdai Mr. A so kwake yeye anaona ni sahihi kuwithold amana yangu simply kwa sababu anadhani hana njia nyingine ya kurecover amount yake toka kwa Mr. A. Niko mbioni kuchukua hatua ninaomba msaada wenu juu ya uhalali wa hili alilofanya Mr. B. Sina shaka nimeeleweka.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom