K_J Member Joined Jan 21, 2012 Posts 16 Reaction score 12 Aug 14, 2013 #1 Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,339 Aug 14, 2013 #2 Nenda shuleni ulipo malizia acha uvivu, au nenda ofisi ya elimu wilaya au mkoa Kama upo dar nenda NECTA. Na ukifika uliza kiutaratibu, kwani siku hizi watumishi waserikari wamevurugwa sana..... Haki yako, waweza tiwa tusi la nguoni.
Nenda shuleni ulipo malizia acha uvivu, au nenda ofisi ya elimu wilaya au mkoa Kama upo dar nenda NECTA. Na ukifika uliza kiutaratibu, kwani siku hizi watumishi waserikari wamevurugwa sana..... Haki yako, waweza tiwa tusi la nguoni.