Msaada please

Msaada please

K_J

Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
16
Reaction score
12
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata

msaada plz....!!!!
 
Nenda shuleni ulipo malizia acha uvivu, au nenda ofisi ya elimu wilaya au mkoa

Kama upo dar nenda NECTA.

Na ukifika uliza kiutaratibu, kwani siku hizi watumishi waserikari wamevurugwa sana..... Haki yako, waweza tiwa tusi la nguoni.
 
Back
Top Bottom