habari
nimeanza kazi tempo ya miaka 3,ninaweza kusave laki tano kwa mwezi meaning kwa mwaka milioni 6 na ndani ya miaka mitatu nitakayofanya kazi nitakuwa nimesave milioni 18,swali langu linakuja hapa,je hii pesa inatosha kujenga nyumba? wakuu mlifanyaje kujenga nyumba zenu???nisubiri nisave nijenge kwa awamu tatu? au niende kila mwezi najengakidogo kidogo,siwezi kuandikishana na mtu/contractors niwape pesa wanijengee?