msaada please...

msaada please...

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
habari

nimeanza kazi tempo ya miaka 3,ninaweza kusave laki tano kwa mwezi meaning kwa mwaka milioni 6 na ndani ya miaka mitatu nitakayofanya kazi nitakuwa nimesave milioni 18,swali langu linakuja hapa,je hii pesa inatosha kujenga nyumba? wakuu mlifanyaje kujenga nyumba zenu???nisubiri nisave nijenge kwa awamu tatu? au niende kila mwezi najengakidogo kidogo,siwezi kuandikishana na mtu/contractors niwape pesa wanijengee?
 
Mi cna hata kibanda ila naomba kuchangia.
Una kiwanja tayari?
Kama kipo nadhan ni vizuri kujenga kdg kdg ukisema usubiri upate ela yote, nijuavyo pesa haikai, itatokea emergency kila leo utaitafuna kdg kdg.
This is your time. Tmrw never comes my dia
 
kama una kiwanja jenga servant quarter alafu ujipange tena!
 
thanks mpendwa,kiwanja ninacho tayari
 
kama una kiwanja jenga servant quarter alafu ujipange tena!

mmmnh kama naweza simamisha servant quarter,kwa nini isiwe nyumba ya kawaida?:A S-confused1:
 
Kiwanja unacho tayari anza kujenga kidogo kidogo 18m mika mitatu ijayo inaweza ikawa ni pesa ya misumari tu
 
Back
Top Bottom