Jenga kidogo kidogo
Mi cna hata kibanda ila naomba kuchangia.
Una kiwanja tayari?
Kama kipo nadhan ni vizuri kujenga kdg kdg ukisema usubiri upate ela yote, nijuavyo pesa haikai, itatokea emergency kila leo utaitafuna kdg kdg.
This is your time. Tmrw never comes my dia
kama una kiwanja jenga servant quarter alafu ujipange tena!
Kiwanja unacho tayari anza kujenga kidogo kidogo 18m mika mitatu ijayo inaweza ikawa ni pesa ya misumari tu
thanks mkuu