habari zenu
leo nina swali kwa nyie wasomi,mie shule niilikiimbia.....ni hivi how do you determine the price of something?? ?and how do you know umemake profit i mean how to maximize your profit????.....nisaidieni please mama yangu analima mihogo kisarawe na nahisi msimamizi anampa figure za uongo.....mwisho kwa wale wakulima wa mihogo heka moja nimagunia mangapi mnaingiza shilingi ngapi kwa gunia?
santeni kwa ushirikiano mtakautoa