G3T
JF-Expert Member
- May 21, 2013
- 816
- 400
Habari wana JF,
Miaka 2 iliyopita nilinunua eneo la heka 3 maeneo ya pwani.Kuna mtu ametokea na kudai hilo shamba ni lakwake na amenunua miaka 6 iliyopita na hati zote anazo na mie hati zote ninazo.
yani hapa nilipo akili yote imevulugika,naombeni ushauri nduguzangu. nifanyeje