Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Kuna mtu kaniomba nimsaidie ada, nilipomuomba matokeo yake ya kidato cha nne akanipa namba ya mtihani nikacheki matokeo NECTA. Ila kule hakuna majina, ni namba tu..., je kuna jinsi ya kujua jina la mtahiniwa? ishu ni kuwa simuamini huyu kijana na kwa sasa nipo nje ya nchi.
Msaada please!
Msaada please!