msaada please

msaada please

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Kuna mtu kaniomba nimsaidie ada, nilipomuomba matokeo yake ya kidato cha nne akanipa namba ya mtihani nikacheki matokeo NECTA. Ila kule hakuna majina, ni namba tu..., je kuna jinsi ya kujua jina la mtahiniwa? ishu ni kuwa simuamini huyu kijana na kwa sasa nipo nje ya nchi.


Msaada please!
 
ni rahisi sana, ninachotaka kukushauri ni kuangalia shule aliyo pangiwa "posti" hapo utaliona jina lake. then ndo utajua kama amefaulu au la.
 
Tafuta contact za shule aliyosomea mfano za Mwl Mkuu bila kumshirikisha then uulizie. Ni rahisi kupata hata namba ya simu ya Mwl yoyote dunia hii ya digital
 
Back
Top Bottom