Msaada pleaseeeeeeeeeeee

Msaada pleaseeeeeeeeeeee

LARRYBWAY

Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
82
Reaction score
5
[h=2][/h]
Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri​
 
ungeweka swali kwenye forum ya JF doctor. pia jaribu hospitali zingine uone ushauri wao
 
Unatakiwa unywe maji mengi sana kusafisha kibofu chako cha mkojo. Ukiwa na upungufu wa maji mara nyingi mkojo unakuwa njano .
 
Jf doctor forum is where you can get help
 
Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri

Ndio cancer gani hiyo? Usijifanye much knower.
 
dokta aliyekwambia huna tatizo ni wa mifugo? Kwa nini humwamini?
 
Huyo ni Doctor makini kweli, sio design ya wale wa ishu ya operation ya kichwa, mguu Muhimbili!, sidhani kama utakuwa huna tatizo, kuna something wrong, ngoja madoctor makini wa JF wakujuze
[h=2][/h]
Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri​
 
hakuna ubaya akinywa maisha yake yote.....
unadhani lita 3 ni nyingi? kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku?
la hasha...
si nyingi....

BADILI TABIA hii dozi yako mbona haijakamilika? Anywe maji lita tatu kwa siku kwa muda wa siku ngapi? Siku 7, wiki mbili, mwezi au maisha yake yote?
 
nashukuru ndugu kwa maoni yenu, nilienda kupima pale mikocheni kwa kairuki alafu nikaenda IMTU , wakapima damu na mkojo wakasema ipo poa pmj na sukari ni normal, pamoja wadau wangu nitawapa feedback mambo yanavyokwenda
 
Tulizana huna ugonjwa wowote, furahia maisha kwa kunywa maji. Kukujoa mkojo wa njano ni kutokunywa maji ya kutosha. Unatakiwa unywe maji si chini ya lita mbili kwa siku.
 
Back
Top Bottom