Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 99
Habari zenu Wataalam
Natumai mmeamka salama salimin.
Mpenzi wangu anaumwa sana na kichwa kimeanza jana bt sasa hv asubuhi kimezidi,
Anasema anasikia ni kizito na kama kizunguzungu
Akifumbua macho kinauma.
Naombeni ushauri kwa mwenye tiba na utalaam na hili.
Natanguliza shukrani za dhati.