Msaada pls kwa yeyote mwenye idea

Msaada pls kwa yeyote mwenye idea

beltomaiko

Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Wanajukwaa naomben msaada. Nina friend wangu ananisumbua. Yeye ali make aplication for second round na akaandikiwa adimited jordan university colege. Sasa akichek acount za watu wa first round kwa profile anaona kabisa kwamba your admited some where. There 4 anasema mbona kwake aiandik ivo?
 
hiyo ni kwa wote wa second round mkuu....wanaandikiwa tu neno "ADMITTED". Hasiwe na hofu....jordn kwake hukooo.
 
kama alivyosema mdau hapo juu...ndo keshaenda huko jordan..hawa wa first round ni wote wanaandikiwa kabisa mfano your admitted in......at.....SUA or mzumbe....asihofu mwambie..
 
Back
Top Bottom