amelia kuanzia jana saa 10 jioni mpaka saa 11 asubuhi, nalala, naamka namkuta analia nimetoka kwenda kazini hajalala, na mchana huu napiga simu analia tu BP imeshuka
kulia lazima ila life has to continue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amelia kuanzia jana saa 10 jioni mpaka saa 11 asubuhi, nalala, naamka namkuta analia nimetoka kwenda kazini hajalala, na mchana huu napiga simu analia tu BP imeshuka
Kwani sisi huwa hatuumizwi???ombea hujazaliwa wa kike
Ongea nae muleze pamoja na yote yaliyotokea LIFE HAS TO GO ON kwanza unakuta hata mtu anayemlilia hata hana habari naye, si ajabu hata lijamaa lenyewe liko kwenye mishemishe zake hana habari hata chembe za huyo mdogo wako.Kaka yangu hakuna neno sijaongea, maneno yameniishia , nikirudi nyumbani sijui nitasema nini, namuonea huruma. analia
Huyo ni a BOY not a MEN.
mdogo wangu anafunga ndoa mwezi wa tisa, tupo kwenye process ila jan amegundua mchumba wake ana mwanamke na mtoto mchanga wa miezi mmitatu wamefanana kama mapacha, alizaa naye akiwa arusha amemleta dar amempangia nyumba ila jamaa ni smart imetumika trick kali sana kumnasa, mdogo wangu amechanganyikiwa sana nimemwambia kila neno nmechoka, embu nipeni tips za kumsaidia, ndani hakupikwi wala hakuliki.
Khaaa!!! Makubwa, mwambie mdogo wako aangalie ustaarabu mwingine tu na kuanza maisha mapya, angalia tu hali yake kuwa makini na mdogo wako maana ishu kama hizi mabinti huwa hamchelewi kufanya vioja vya kunywa sumu.Na huyo mama mtoto alikukuwa hajui anamwenzake ndo amejua jana, si msg za matusi muache mume wangu, unafanya mtoto asipate mapenzi ya baba yake blabla bla
Mdogo wako ana miaka mingapi???Siyo boy ni Men 34years
sawa huwa mnaumizwa ila ni rahisi kuanzisha uhusiano mwingine na unayemchagua.Kwani sisi huwa hatuumizwi???
Kwani sisi hatujawahi kuumizwa???
Tena nyie huwa mnatuumiza vibaya sana
Sitaki hata kukumbuka
Hapo itabidi huyo ndugu yako awe very strong na aamue kitu ambacho anaona kitamfaa... Poleni hii issue ni kubwa kwa kweli.
sawa huwa mnaumizwa ila ni rahisi kuanzisha uhusiano mwingine na unayemchagua.
Sisi mpaka tusuburi kuchaguliwa
(mkaka kuumizwa maumivu hayaumi kama mdada)
Aiseee!Amenipigia muda mfupi uliopita jamaa kaja kuchukua vitu vyake vyote ikiwemo gari, kadi ya gari japo alimuandikisha na kila kitu, anasem aanataka amlee mtoto wake, yeye hakupata mapenzi ya baba kwa hiyo anataka mtoto wake ayapate. anamwambia samahani kwa kukupotezea muda
huwa yupo strong kweli ila kwa hili sijui, mwezi uliopita tumeangushiwa bonge la party la engagement tukala tukanywa, hii aibu tutaipeleka wapi, nilishaanza kutoa kadi zamchango kwa watu hapa kazini.
http://www.youtube.com/watch?v=xkc1TZvXApYsawa huwa mnaumizwa ila ni rahisi kuanzisha uhusiano mwingine na unayemchagua.
Sisi mpaka tusuburi kuchaguliwa
(mkaka kuumizwa maumivu hayaumi kama mdada)
Aiseee!
Hapo kilichobaki ni kukubali yaliyotokea yameshatokea na kuanza mbele!!Mwambia Lizzy anampa pole sana!
Najua inauma lakini yameishatokea and LIFE HAS TO GO ONInauma sana, siyo mimi ila naumia sana, je muhusika si ndo anaumia kabisa
Aisee kuwa makini na mdogo wako asije akafanya kitu cha ajabuUsiku anaamka ananiambia dada mbona mimi nimetulia, au mimi ni mbaya, mbona nina tabia nzuri, sijawahi kumsaliti, sijawahi kulala na mtu zaidi yake yaani, nyumba imekuwa kama msiba hakujawashwa redio wala TV