The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 May 24, 2011 #1 Habari wanajamii! Nipo ktk utafiti kuhusiana na janga la ukimwi. Naomba mnisaidie kunitajia nyimbo zinazohusu ukimwi zilizoimbwa na watanzania pamoja na majina ya wasanii husika wa nyimbo hizo. Natanguliza shukrani zangu.
Habari wanajamii! Nipo ktk utafiti kuhusiana na janga la ukimwi. Naomba mnisaidie kunitajia nyimbo zinazohusu ukimwi zilizoimbwa na watanzania pamoja na majina ya wasanii husika wa nyimbo hizo. Natanguliza shukrani zangu.
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,397 Reaction score 520 May 24, 2011 #2 Starehe - Feruz and Prof. Jay wa Mitulinga Kosa la Marehemu -
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 May 25, 2011 #3 Sita Sita said: Starehe - Feruz and Prof. Jay wa Mitulinga Kosa la Marehemu - Click to expand... mwana fa- alikufa kwa ngoma
Sita Sita said: Starehe - Feruz and Prof. Jay wa Mitulinga Kosa la Marehemu - Click to expand... mwana fa- alikufa kwa ngoma
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 188 May 25, 2011 #4 Mambo kwa sox- Dr Remmy ...................- OCG