Msaada, pls!

Msaada, pls!

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261
Habari wanajamii! Nipo ktk utafiti kuhusiana na janga la ukimwi. Naomba mnisaidie kunitajia nyimbo zinazohusu ukimwi zilizoimbwa na watanzania pamoja na majina ya wasanii husika wa nyimbo hizo.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Starehe - Feruz and Prof. Jay wa Mitulinga

Kosa la Marehemu -
 
Back
Top Bottom