mulmul Member Joined Jan 22, 2013 Posts 18 Reaction score 4 Mar 3, 2013 #1 Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa.
Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,537 Mar 3, 2013 #2 mulmul said: Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa. Click to expand... usinywe vinywaji vya moto kama chai n.k. tumia panadol baada ya muda yataacha
mulmul said: Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa. Click to expand... usinywe vinywaji vya moto kama chai n.k. tumia panadol baada ya muda yataacha
D Doricy Member Joined Apr 19, 2012 Posts 34 Reaction score 8 Mar 4, 2013 #3 Yataacha meza dawa za maumv na kunywa v2 vya baridi ikiwzekana loweka kitambaa kabla ya kulala uweke kwenye matiti
Yataacha meza dawa za maumv na kunywa v2 vya baridi ikiwzekana loweka kitambaa kabla ya kulala uweke kwenye matiti
mulmul Member Joined Jan 22, 2013 Posts 18 Reaction score 4 Mar 4, 2013 Thread starter #4 Ok will do that