Msaada pls

Msaada pls

mulmul

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
18
Reaction score
4
Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa.
 
Nimemwachisha mtoto wangu kunyonya kifuani sasa maziwa yamevimba sana na yanauma , naomba msaada kwa anaejua dawa ya kuweza kukausha maziwa.

usinywe vinywaji vya moto kama chai n.k. tumia panadol baada ya muda yataacha
 
Yataacha meza dawa za maumv na kunywa v2 vya baridi ikiwzekana loweka kitambaa kabla ya kulala uweke kwenye matiti
 
Back
Top Bottom