Msaada pls!

Msaada pls!

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake kuna mtu leo anafikisha wiki ya 39 na siku 5 (almost wiki 40) na mtoto bado yuko vizuri tu tena anacheza sanaaa na wala hata dalili za uchungu hana kabisa na yupo fresh tu!

Msaada pls kwa anayejua
 
As I knw, sometime wanawake wanakuwa hawafahamu exactly date waliyopata mmba.thats y wanaona kama mimba inaptlza sku za kujfungua
 
Inawezekana kufikisha wiki 40 mkuu. Ila ili ajue umri halisi wa ujauzito in bora akafanye ultra sound.
 
wamama wanachanganya date zao ujauzito ulipoingia,akipiga hesabu anajua pengine mimba ina miezi 4,kumbe ni miezi 3...
 
Back
Top Bottom