Carina
Senior Member
- Jan 4, 2011
- 194
- 70
Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake kuna mtu leo anafikisha wiki ya 39 na siku 5 (almost wiki 40) na mtoto bado yuko vizuri tu tena anacheza sanaaa na wala hata dalili za uchungu hana kabisa na yupo fresh tu!
Msaada pls kwa anayejua
Msaada pls kwa anayejua