msaada plse

msaada plse

bibliography

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
614
Reaction score
228
habari zenu wakuu!
nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia msela simu jamaa akamueleza kuwa yuko mahali anapata moja moja basi demu akachukia na kuzima simu zote mpaka sasa takribani wiki ya 3 maana demu ni mtu wa kuzira zira hadi anamkera sometimes mshikaji!jamaa akawa mpole katika pita pita zake akakutana na demu mmoja ambae wanajuana na kwakua alikua na stress za kugombana na demu wake akaamua kwenda kumkamua na sasa hivi demu kakolea!sasa utata unakuja hivi je demu wake orijino akirudi kutoka kwao itakuaje ingawa mpaka ss demu wake orijino hayuko hewani
mshikaji anaomba ushauri
nawasilisha
 
Huyo jamaa km anahitaji maisha ya furaha hatayapata kwa huyi mdada,hapo atakuwa ananuniwa kila siku.Atafakari then achukue hatua.
Pia kukutana na mdada then mnafanya ngono siku hiohiyo then eti unakuwa ushakolea mh inatisha hayo mapenzi gani yanayojengwa kwa siku moja na kumea hiyo?
ANGALIZO:UKIMWI UNAUA.
 
Angemtafutia adhabu itayolenga kupunguza hiyo tabia ya kuzira zira maana inaonesha mkewe ana mawivu yanayosababishwa na mmewe kuwa mbali nae.AACHANE NA HUYO VODA FASTA ILI APATE MUDA WA KUSOLVE TATIZO.Mapenzi au ndoa sio ligi ya kukomoana.
 
habari zenu wakuu!
nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia msela simu jamaa akamueleza kuwa yuko mahali anapata moja moja basi demu akachukia na kuzima simu zote mpaka sasa takribani wiki ya 3 maana demu ni mtu wa kuzira zira hadi anamkera sometimes mshikaji!jamaa akawa mpole katika pita pita zake akakutana na demu mmoja ambae wanajuana na kwakua alikua na stress za kugombana na demu wake akaamua kwenda kumkamua na sasa hivi demu kakolea!sasa utata unakuja hivi je demu wake orijino akirudi kutoka kwao itakuaje ingawa mpaka ss demu wake orijino hayuko hewani
mshikaji anaomba ushauri
nawasilisha

Wewe pamoja na jamaa yako ni vicheche.... uko mkipo pata moja moja mukitafuta madem pia, na dem wa jamaa yako kagundua. Ndio maana kamkatia line.

Sasa unasingizia eti kwa vile alikuwa na mistress ndio akadandia dem mwingine:lol: hahahahaha.

Wewe mgombanishi yaonesha, ulimshauri mufanye mabaya na sasa, limekukuta,:lol:

vijana kama nyie nawafam sanaaa:A S embarassed:
 
Yawezekana kuna mambo ambayo hayamfurahishi huyo dada orijino na ndio maana anaamua kususa susa. Mwambie huyo jamaa ajirekebishe kama kweli anampenda huyo dada orijino. Ila kutembea na mwanamke mwingine sio suluhisho bali ni kujiongezea matatizo tu kwani utatembea na wanawake wangapi?
 
Hv huyo jamaa yako aliona kuchit ndio suluhisho?nahic jamaa yako bado ni mvulana kwan hata hana uwezo wa kuhandle strec za mapnz namshauri aendelee na ubazazi wake na huyo akizingua kesho yake adandie mwingine!mwanaume kamili ana uwezo wa kuhandle mwanamke mwenye wivu na kumjenga ktk namna anavyopenda mpnziwe awe na ctuation km hizi co tatizo kwake!
 
Na wewe unajihesabu una rafiki mkuu?
 
mi nae mkulu!tatizo la huyu dem wa mshikaji amemzidi umri kiaina so sometimes huwa analeta habari za kama kumkontroo hivi na mizinguo mingine kama kuzira zira mara nyingine mshikaji anaweza akaongea hata kitu tu kama jokes labda hata kwa kunong'oneza dem anakasirika na kuondoka hata kama mshikaji yuko na frends zake watu wanaulizana vipi shem mbona anaondoka mshikaji inabidi achill 2
 
Back
Top Bottom