bibliography
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 614
- 228
habari zenu wakuu!
nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia msela simu jamaa akamueleza kuwa yuko mahali anapata moja moja basi demu akachukia na kuzima simu zote mpaka sasa takribani wiki ya 3 maana demu ni mtu wa kuzira zira hadi anamkera sometimes mshikaji!jamaa akawa mpole katika pita pita zake akakutana na demu mmoja ambae wanajuana na kwakua alikua na stress za kugombana na demu wake akaamua kwenda kumkamua na sasa hivi demu kakolea!sasa utata unakuja hivi je demu wake orijino akirudi kutoka kwao itakuaje ingawa mpaka ss demu wake orijino hayuko hewani
mshikaji anaomba ushauri
nawasilisha