Msaada plz: How to use my little cash

Msaada plz: How to use my little cash

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
mimi ni msichana niliyemaliza chuo mwaka jana mpaka nau sijaajilwa nafany tempo tu...sasa nimepta hapa shilingi laki tano natak hii hela izae....yani nataka nifanye biashara ya mtaji huu jamni sasa i do not know where to start nafikiria sana lakini naona kila biashara ina mtaji mkubwa naombeni mnishauri nifanyeje jamani ili hizi lakitano zangu zitoe faida...plz plz nsaidie niko tayari kufanya chochote cha halali......
 
Kwa maisha ya sasa laki 5 ni kidogo lakini kama una moyo inatosha kuanzia maisha! Je wewe ni mzoefu wa mapishi? Ebu jaribu baking business yani unaweza kuoka mikate, cakes na hata mandazi na kutafuta maduka ya karibu na eneo unaloishi uwasambazie bidhaa zako. Najua kama ni graduate utaona aibu bt hata mm niliwah kufanya hiyo kazi ilikua inalipa atleast ya kutosha kusave. option nyingine siku hizi kuna SACCOS unaweza kuwekeza hiyo pesa then ukaichukulia kikompo cha kutosha kujiunga na biashara inayohitaji atleast mil1.5 hivi.
Lakini most of all unatakiwa ufanye biashara unayoipenda wewe mwenyewe! yani kile kitu unachotamani kukifanya kutoka moyoni mwako
 
Mie kabla ya kupost nimeanza kuangalia hivo vinyonyo vyako vinavyodance hapo vkeisy2006 hiyo laki tano nashindwa niseme nini ingawa natamani tusaidiane kwenye hili

hehe hivyo vinyonyo tu kamtaji,ngoja kina the boss,masa,na fidel wakiviona wanaweza kumuongezea mtaji.
 
Jamani kuwa wazi vitu gani hivyo?? sema then tuanze kumsadia vkeisy2006
 
mimi ni msichana niliyemaliza chuo mwaka jana mpaka nau sijaajilwa nafany tempo tu...sasa nimepta hapa shilingi laki tano natak hii hela izae....yani nataka nifanye biashara ya mtaji huu jamni sasa i do not know where to start nafikiria sana lakini naona kila biashara ina mtaji mkubwa naombeni mnishauri nifanyeje jamani ili hizi lakitano zangu zitoe faida...plz plz nsaidie niko tayari kufanya chochote cha halali......
 
hehe hivyo vinyonyo tu kamtaji,ngoja kina the boss,masa,na fidel wakiviona wanaweza kumuongezea mtaji.

hivi kama hivi ni vinyonyo.... manyonyo yanfananaje??? sore ofu topiki
 
yaah haya ni manyonyo,vp upo wewe?

hapo sawa maana mi nauona mzigo wa maana afu nyie mnau-shadow khee!!

dah shem am around sema tu ze new ngoma ilinishinda ku-gain momentum
leo niko poa and am sure by end of this week we will be even
 
PILATO by chochot e cha halali namanisha as long as ni bussiness isyokuwa against the law and moralsss plzzz jamani...
 
my dear yaani hapa nimechekecha weee sipati jibu la biashar ay aain agani labda nikuulize swali hii kitu iko kwenye damu?? kama ndio ni biashara ya namna gani huwa unaiota??
 
hapo sawa maana mi nauona mzigo wa maana afu nyie mnau-shadow khee!!

dah shem am around sema tu ze new ngoma ilinishinda ku-gain momentum
leo niko poa and am sure by end of this week we will be even
hata mimi shem,niliishiwa hamu kabisa ya kuja humu,at least nimewaona wewe na fl 1 najiona niko nyumbani,lakini mwanzo mmh nilikua hewani tu.
 
Picha yako imenikwaza hadi wazo la biashara limenitoka
 
hehe hivyo vinyonyo tu kamtaji,ngoja kina the boss,masa,na fidel wakiviona wanaweza kumuongezea mtaji.

Hahahahaha nilikuwa nafikiria sana kumsaidia kwenye hiyo 500,000/= nataka kumsaidia kwa kuongeza 0 mwishoni.
 
hata mimi shem,niliishiwa hamu kabisa ya kuja humu,at least nimewaona wewe na fl 1 najiona niko nyumbani,lakini mwanzo mmh nilikua hewani tu.

ume-reload lakini au ndo wale wale bado font size ni issue na background colour??

anyway mabadiliko itachukua muda kuyazoea, but it looks fine now bado tu upana wa screen na vingine vidogo vidogo.

sasa BK biashara gani unadhani huyu bibie anaweza kufanya kwa kiasi hicho? mie nimemuuliza maswali akijibu ntaanzia pale pale.....
 
Hahahahaha nilikuwa nafikiria sana kumsaidia kwenye hiyo 500,000/= nataka kumsaidia kwa kuongeza 0 mwishoni.

dah mpwaz huo ni wema wa upendo au????????
 
Napenda kuwa na canteen ila naona hela haitoshi
 
Mi namsaidia kwa wema na si kwa malipo ya baadae najua Mungu ndie atakae nilipa.

Napenda kuwa na canteen ila naona hela haitoshi

Mi nataka nikusaidie vyombo pamoja na gesi sijui kama utakuwa tayari. mtaji wa kuanzia nitakupa wewe hiyo laki 5 inakuwa kodi ya fremu
 
Back
Top Bottom