Wanajf habarini za asubuhi. Poleni sana na majukumu. Naomba sana kwa yeyote mwenye gazeti la The Guardian la jana tarehe 12-03-2012 anisaidie kuniwekea humu nafasi za kazi zilizotangazwa humo kwenye gazeti. Naomba sana ndugu zangu mnisaidie. Mimi niko mbali na mji na si rahis kulipata.
Nashukuru sana kwa msaada wenu, lakn kuna kazi ilitangazwa na KCU (Kagera Co-operative Union). Naomba mwenye detail yake kwenye hilo gazeti la the guardian tarehe 12 machi anisaidie.
Nashukuru sana kwa msaada wenu, lakn kuna kazi ilitangazwa na KCU (Kagera Co-operative Union). Naomba mwenye detail yake kwenye hilo gazeti la the guardian tarehe 12 machi anisaidie.