Msaada plz kuhusu The Guardian ya jana.(12/03/2012)

Msaada plz kuhusu The Guardian ya jana.(12/03/2012)

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
118
Reaction score
9
Wanajf habarini za asubuhi. Poleni sana na majukumu. Naomba sana kwa yeyote mwenye gazeti la The Guardian la jana tarehe 12-03-2012 anisaidie kuniwekea humu nafasi za kazi zilizotangazwa humo kwenye gazeti. Naomba sana ndugu zangu mnisaidie. Mimi niko mbali na mji na si rahis kulipata.
 
na nafasi zipi hilo gazeti nikalisake sasa hivi???
 
wadau mkizipata tunaomba mtubandikie hapa ili na wengine tuangalie km twafit
 
Moja kati ya nafac zilizomo ni assistant auditor (11 posts)
 
haya kagarara kazi kwako nimelisaka na nimelipata.

Guardian.jpg
 
wadau pia kuna link hapa huwa wanajitahidi kuweka nafac za kazi za kwenye magazeti PATA KAZI BONGO hii inapunguza kidogo kununua magazeti!
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu, lakn kuna kazi ilitangazwa na KCU (Kagera Co-operative Union). Naomba mwenye detail yake kwenye hilo gazeti la the guardian tarehe 12 machi anisaidie.
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu, lakn kuna kazi ilitangazwa na KCU (Kagera Co-operative Union). Naomba mwenye detail yake kwenye hilo gazeti la the guardian tarehe 12 machi anisaidie.
kuna hii hapa sijui ndo yenyewe au ulikuwa unataka nyingine
8.jpg
 
mwana cbe pls kwenye hilo gazeti la the guardian march 12 kuna tangazo la kazi za tra data entry pls kama unaweza 2wekee
 
Back
Top Bottom