Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
Samahan ya nn wakat ulidhamilia kutukana,..??Samahani wakuu kuna mjinga mmoja wakati Mimi naomba msaada yeye analeta utani wake
AchaSiwezi kukujibu swali lako
Kwakweli halipoMi ni msukuma lkn sijawahi liskia hilo neno! Labda ni neno linalotumika kanda hiyo tu! Au ni neno la kizinza au kisumbwa!
Ni kweli ndugu nimejaribu kuuliza baadhi ya wasukuma wanasema hawajawahi kusikia Hilo neno ila kuna mmoja kaniambia linausiana na Mambo ya kishirikina ila bado Niko nae karibu kuna Mambo mengi ameniambia yanatisha nataka nimpeleke kwenye maombiMbona mm sijawahi lisikia hilo neno usukumani
Kibanga niaje mkuu...Siwezi kukujibu swali lako
Mboo sye nubalwa [emoji23][emoji23][emoji121]Shwari mkuu wangu
Uwiiiii wahi aiseeee tena sanaNi kweli ndugu nimejaribu kuuliza baadhi ya wasukuma wanasema hawajawahi kusikia Hilo neno ila kuna mmoja kaniambia linausiana na Mambo ya kishirikina ila bado Niko nae karibu kuna Mambo mengi ameniambia yanatisha nataka nimpeleke kwenye maombi
Dah!!! una maneno makali mkuu, pole.Kama hujui ni bora ukakaa Kimya usipende kuwa kama Malaya Wa kona baa
Duh unakiherehere tazama umedharirika***** ww ukweli unauma k ww
utafumuliwa malindaDuh unakiherehere tazama umedharirika
Hayo maneno kama yana chembechembe kuwa "wachawi'Kwa wale Wa kabila la wasukuma naomba kueleweshwa nini maana ya neno wachwegi kwa maana house garl wangu ananipa mashaka nitafurahi zaidi kama nikipata msukuma kutoka sengerema ani pm Nina mengi nataka kujua plz
Uko sahihi mkuuKibanga, naomba nikupe japo kidg niliomba uje pm hukuja badala yake mkaanza kutukanana mitusi minene minene, wachwezi ni kikundi cha watu, wenye imani Moja na mlengo mmoja, mchwezi au wachwezi huwa wanapanda kichwani kwa mtu ili atekeleze mila zake au adai mitambiko yake, ni kama uganga zaidi ila hao watu wanakua wamebobea ushirikina, kwa hiyo huyo binti ana mambo hayo kichwani kwake, na lugha yao kubwa ni matusi makubwa makubwa na manene manene kwa lafudhi yao, Kama nimekosea kdg naweza sahihishwa.
Asante kwa tafsiri kiongozi sasa nafikiria sijui nimrudishe kwao asijekuidhuru familia yangu japo anafanya kazi zake vizuri nimepata wasiwasi kama hayo Mambo ni ya kishirikina tena waliobobeaKibanga, naomba nikupe japo kidg niliomba uje pm hukuja badala yake mkaanza kutukanana mitusi minene minene, wachwezi ni kikundi cha watu, wenye imani Moja na mlengo mmoja, mchwezi au wachwezi huwa wanapanda kichwani kwa mtu ili atekeleze mila zake au adai mitambiko yake, ni kama uganga zaidi ila hao watu wanakua wamebobea ushirikina, kwa hiyo huyo binti ana mambo hayo kichwani kwake, na lugha yao kubwa ni matusi makubwa makubwa na manene manene kwa lafudhi yao, Kama nimekosea kdg naweza sahihishwa.