Msaada plz: naomba kueleweshwa maana ya neno la Kisukuma 'wachwegi'

Am not sure ila naona Kama Lina ladha ya kijaluo
 
Mi ni msukuma lkn sijawahi liskia hilo neno! Labda ni neno linalotumika kanda hiyo tu! Au ni neno la kizinza au kisumbwa!
 
Mbona mm sijawahi lisikia hilo neno usukumani
Ni kweli ndugu nimejaribu kuuliza baadhi ya wasukuma wanasema hawajawahi kusikia Hilo neno ila kuna mmoja kaniambia linausiana na Mambo ya kishirikina ila bado Niko nae karibu kuna Mambo mengi ameniambia yanatisha nataka nimpeleke kwenye maombi
 
Kibanga, naomba nikupe japo kidg niliomba uje pm hukuja badala yake mkaanza kutukanana mitusi minene minene, wachwezi ni kikundi cha watu, wenye imani Moja na mlengo mmoja, mchwezi au wachwezi huwa wanapanda kichwani kwa mtu ili atekeleze mila zake au adai mitambiko yake, ni kama uganga zaidi ila hao watu wanakua wamebobea ushirikina, kwa hiyo huyo binti ana mambo hayo kichwani kwake, na lugha yao kubwa ni matusi makubwa makubwa na manene manene kwa lafudhi yao, Kama nimekosea kdg naweza sahihishwa.
 
Uwiiiii wahi aiseeee tena sana
 
Kwa wale Wa kabila la wasukuma naomba kueleweshwa nini maana ya neno wachwegi kwa maana house garl wangu ananipa mashaka nitafurahi zaidi kama nikipata msukuma kutoka sengerema ani pm Nina mengi nataka kujua plz
Hayo maneno kama yana chembechembe kuwa "wachawi'
 
Kibanga, naomba nikupe japo kidg niliomba uje pm hukuja badala yake mkaanza kutukanana mitusi minene minene, wachwezi ni kikundi cha watu, wenye imani Moja na mlengo mmoja, mchwezi au wachwezi huwa wanapanda kichwani kwa mtu ili atekeleze mila zake au adai mitambiko yake, ni kama uganga zaidi ila hao watu wanakua wamebobea ushirikina, kwa hiyo huyo binti ana mambo hayo kichwani kwake, na lugha yao kubwa ni matusi makubwa makubwa na manene manene kwa lafudhi yao, Kama nimekosea kdg naweza sahihishwa.
Uko sahihi mkuu
 
Asante kwa tafsiri kiongozi sasa nafikiria sijui nimrudishe kwao asijekuidhuru familia yangu japo anafanya kazi zake vizuri nimepata wasiwasi kama hayo Mambo ni ya kishirikina tena waliobobea
 
Back
Top Bottom