msaada plz. nataka kununua laptop.

honesty

Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
12
Reaction score
4
nataka kununua laptop na sh laki 6 naomba mnifahamishe laptop nzuri ni ipi ya aina gani? uwezo gani? asante.
 
ningumu kupata jibu sahihi,uwezo wako wa hela kwanza ndipo ujibiwe.nisawa na mtu anataka ushauri anunue gari gani wewe ungempa jibu gani?magari yapo mengi na bei tofauti,manual na automatic,kunawanaotumia laptop alakini ukimpa mac hatakuangalia specification hajui.upo hapo!
 
Mkuu, inategemea na wewe wenyewe unahitaji laptop kwa matumizi gani, ukiweza kutuambia unafanya shughuli gani itatuwia rahisi kwetu kukushauri ununua laptop yenye uwezo upi...
 
mpya kwa laki 6 hakuna(bongo) ukipata feki,tafuta used yenye speed nzuri,natafuta then nitakupa specifications na wapi uende
 
mpya kwa laki 6 hakuna(bongo) ukipata feki,tafuta used yenye speed nzuri,natafuta then nitakupa specifications na wapi uende

kama anahitaji used, ninayo Toshiba satellite f5,
windows 7
speed 3.ghz
hdd 160 gb
ram 512 mb
dvd rw.

Kama utahitaji ni julishe.
 
endelea kuchanga hiyo hela ili ujipatie MAC uepukane na ma virus ya kijinga
 
Mtu wa mac hawezi kua na maswali kama hayo,mshauri achukue laptop aina nyingine sio mac,alafu ameshasema anakiasi gani,hakuna mac ya laki sita.anunue toshiba siombaya kwake,
 
Mtu wa mac hawezi kua na maswali kama hayo,mshauri achukue laptop aina nyingine sio mac,alafu ameshasema anakiasi gani,hakuna mac ya laki sita.anunue toshiba siombaya kwake,

Learn to pay respect to others. Cueb your arrogancy and ego please!
 
kama anahitaji used, ninayo Toshiba satellite f5,
windows 7
speed 3.ghz
hdd 160 gb
ram 512 mb
dvd rw.

Kama utahitaji ni julishe.

Hiii toshiba haikuwa designed kwa ajili ya window 7 achilia mbali hata Vista.
Umeibebesha mzigo mzito sana bora uiwekee window XP. bora hata ingekuwa hatana 2 ghz CPU speed na ram 1024mb ambayo ni sawa na IGb ram.

Nawashauri itoe hiyo window 7 weka XP na latop itafanya kazi kwaufanisi mkubwa zaidi. Kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa CPU na RAM.

Haina tija sana laptop kuwa na CPU speed 3 Ghz alafu ina ram 512 mb
Haina tija vile vile kukuta latop ina 1 ghz CPU speed alafu ina ram 2Gb
 
Mtu wa mac hawezi kua na maswali kama hayo,mshauri achukue laptop aina nyingine sio mac,alafu ameshasema anakiasi gani,hakuna mac ya laki sita.anunue toshiba siombaya kwake,

You mac gurus what is so special about mac than price?

About virus is not true tha mac can not be infected. its just peole creating virus want to infect as many machine as posiible so the focus on windows.

Window use diffrent ports to linux and mac so an open port in windows may not be open in Mac and linux. U need to create a virus to infect a specific OS. and windows has been a target.

U can google sample mac virus and try in you mac machine. if you want me to find one for you I will bring virus code here specific for mac
 
Siwezi kuitoa kwa sababu haijanisumbua nainafanya kazi vizuri tu, na speed nzuri tu.
 
Siwezi kuitoa kwa sababu haijanisumbua nainafanya kazi vizuri tu, na speed nzuri tu.

Ok nimeona jibu nilidhani window 7 inakula memory kuliko vista kumbe sio

Graph

Sijui kama hii graph ina ukweli
 
Ok nimeona jibu nilidhani window 7 inakula memory kuliko vista kumbe sio

Graph

Sijui kama hii graph ina ukweli

Mkuu, toka nimeiweka window 7 sijapata matatizo yoyote, tena inafanya kazi vizuri kuliko hata XP....
 
Mwehishimiwa mimi ni fundi computer na nime soma swali lako. Mimi naku shauri kutumia windows 7 kwa sababu win 7 ni siyo graphical kuliko vista even kana ina virus you wont knw.
 
Mwehishimiwa mimi ni fundi computer na nime soma swali lako. Mimi naku shauri kutumia windows 7 kwa sababu win 7 ni siyo graphical kuliko vista even kana ina virus you wont knw.

Mkuu, samahani sijakuelewa kwa kweli! Una mshauri mwanzisha thread au mimi na wndw 7 yangu?

Fundi Computer, asante kwa ushauri wako, hata hivyo mimi kwenye haya maswala niko vizuri sana.
 
Mwehishimiwa mimi ni fundi computer na nime soma swali lako. Mimi naku shauri kutumia windows 7 kwa sababu win 7 ni siyo graphical kuliko vista even kana ina virus you wont knw.

Ni mimi peke yangu sijaelewa

  • Window 7 sio graphical kuliko vista
  • Even kana ina virus you wont know?
Fundi emmbu fafanua kwa lugha nzuri unamaanisha nini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…