Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpya kwa laki 6 hakuna(bongo) ukipata feki,tafuta used yenye speed nzuri,natafuta then nitakupa specifications na wapi uende
Sio Lazima Mac, anaweza pia nunua non Mac akatumia Linuxendelea kuchanga hiyo hela ili ujipatie MAC uepukane na ma virus ya kijinga
Kuna dell insprion 14..nataka kununua laptop na sh laki 6 naomba mnifahamishe laptop nzuri ni ipi ya aina gani? uwezo gani? asante.
Kuna dell insprion 14..
hdd 160 gb
Ram 1gb
pro 1.80 Nimpya black
au temebelea hii site Used notebooks refurbished computer laptops notebooks cheap. wanakuletea hadi mlangoni!
Mtu wa mac hawezi kua na maswali kama hayo,mshauri achukue laptop aina nyingine sio mac,alafu ameshasema anakiasi gani,hakuna mac ya laki sita.anunue toshiba siombaya kwake,
kama anahitaji used, ninayo Toshiba satellite f5,
windows 7
speed 3.ghz
hdd 160 gb
ram 512 mb
dvd rw.
Kama utahitaji ni julishe.
Mtu wa mac hawezi kua na maswali kama hayo,mshauri achukue laptop aina nyingine sio mac,alafu ameshasema anakiasi gani,hakuna mac ya laki sita.anunue toshiba siombaya kwake,
Hiii toshiba haikuwa designed kwa ajili ya window 7 achilia mbali hata Vista.
Umeibebesha mzigo mzito sana bora uiwekee window XP. bora hata ingekuwa hatana 2 ghz CPU speed na ram 1024mb ambayo ni sawa na IGb ram.
Nawashauri itoe hiyo window 7 weka XP na latop itafanya kazi kwaufanisi mkubwa zaidi. Kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa CPU na RAM.
Haina tija sana laptop kuwa na CPU speed 3 Ghz alafu ina ram 512 mb
Haina tija vile vile kukuta latop ina 1 ghz CPU speed alafu ina ram 2Gb
Siwezi kuitoa kwa sababu haijanisumbua nainafanya kazi vizuri tu, na speed nzuri tu.
Ok nimeona jibu nilidhani window 7 inakula memory kuliko vista kumbe sio
![]()
Graph
![]()
Sijui kama hii graph ina ukweli
Mwehishimiwa mimi ni fundi computer na nime soma swali lako. Mimi naku shauri kutumia windows 7 kwa sababu win 7 ni siyo graphical kuliko vista even kana ina virus you wont knw.
Mwehishimiwa mimi ni fundi computer na nime soma swali lako. Mimi naku shauri kutumia windows 7 kwa sababu win 7 ni siyo graphical kuliko vista even kana ina virus you wont knw.