Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Salam wote, nawaheshimu sana kwa ushauri muutoao, kwa faida yangu na ya wengine tafadhali wanaoweza kutueleza namna nzuri ya kulisha watoto wetu wenye birthday ya mwaka.
Binafsi naumizaga sana kichwa, tukianza na lishe nina marafiki ambao waliwapa watoto uji wa lishe watoto wakawa wazito kupitiliza lakini wangu hajawa hivo, till now ana kg 8.8 ambayo ameirudia kwa mara mbili alipoenda clinik.
LIshe hyo ina mahind, mchele mtama uwele soya, ufuta, ngano, ulezi na mchicha nafaka. Pia mara kadhaa humpa samaki, yai, viazi magimbi ndizi hazipend sana nk.
Sasa nisaidieni tu sio kwamba nataka awe kibonge lahasha lakin naona kama kg ni ndogo japo clinik kard ipo vzr.