Msaada plz wa lishe ya watoto wenye mwaka mmoja

Msaada plz wa lishe ya watoto wenye mwaka mmoja

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Salam wote, nawaheshimu sana kwa ushauri muutoao, kwa faida yangu na ya wengine tafadhali wanaoweza kutueleza namna nzuri ya kulisha watoto wetu wenye birthday ya mwaka.

Binafsi naumizaga sana kichwa, tukianza na lishe nina marafiki ambao waliwapa watoto uji wa lishe watoto wakawa wazito kupitiliza lakini wangu hajawa hivo, till now ana kg 8.8 ambayo ameirudia kwa mara mbili alipoenda clinik.

LIshe hyo ina mahind, mchele mtama uwele soya, ufuta, ngano, ulezi na mchicha nafaka. Pia mara kadhaa humpa samaki, yai, viazi magimbi ndizi hazipend sana nk.

Sasa nisaidieni tu sio kwamba nataka awe kibonge lahasha lakin naona kama kg ni ndogo japo clinik kard ipo vzr.
 
Bila kusahau, stil namnyonyesha japo si sana maana naenda kazin narudi jion, bt huwa ana ya ngombe pia.

Je, kuna mahali nakosea, je ratiba nakosea? je vinakuwa overcooked upi ni muda sahihi wa kukipika mpk kiive using gas? na mengine kama hayo.
 
Kwa umri wa mwanao inabidi aanze kula milo kamili mitatu kwa sasa, asubuhi km ni uji wa lishe mchana ugali na mchuzi wa mboga yoyote na usiku pia chakula mfano ndizi nyama au magimbi au viazi ulaya.

Mi wangu vuakula vyote vya kuunga siweki nyanya naunga kwa kusagia karoti na kitunguu maji tu na muta nb mi mafuta yake ni olive au siagi si mengine czatumbo ya watoto ni delicate sana, maharage na magimbi huwa natia maziwa kdg pia, kati ya hiyo milo huwa nampa maziwa ya ng'ombe maji na juice hasa ya chungwa naweza mix na chenza au karoti.

Nampa pia cerelac na matunda, najaribu kumpa vitu vipya kila ninapo weza cz baada ya mwaka watoto wanaweza kula vyakula vyote ilimradi tu aweze kukisaga.mpe pia supu ya kuku anywe na km mchuzi wa chakula.

By the way my baby nae ana mwaka n ana 12kgz na juzi meanza kumpa wali wa bokoboko amafurahia pia, usiumie sana kichwa abt uzito watoto wako tofauti mkazanie tu kula na vitu vya majimaji.

kila la kheri
 
Kwa umri wa mwanao inabidi aanze kula milo kamili mitatu kwa sasa..asubuhi km ni uji wa lishe mchana ugali na mchuzi wa mboga yoyote na usiku pia chakula mfano ndizi nyama au magimbi au viazi ulaya. mi wangu vuakula vyote vya kuunga siweki nyanya naunga kwa kusagia karoti na kitunguu maji tu na muta nb mi mafuta yake ni olive au siagi si mengine czatumbo ya watoto ni delicate sana ..maharage na magimbi huwa natia maziwa kdg pia..kati ya hiyo milo huwa nampa maziwa ya ng'ombe maji na juice hasa ya chungwa naweza mix na chenza au karoti,nampa pia cerelac na matunda.najaribu kumpa vitu vipya kila ninapo weza cz baada ya mwaka watoto wanaweza kula vyakula vyote ilimradi tu aweze kukisaga.mpe pia supu ya kuku anywe na km mchuzi wa chakula..by the way my baby nae ana mwaka n ana 12kgz na juzi meanza kumpa wali wa bokoboko amafurahia pia..usiumie sana kichwa abt uzito watoto wako tofauti mkazanie tu kula na vitu vya majimaji.kila la kheri..

asante kwa mchango wako,nimepata kitu,me bokoboko alianza muda mrefu tu.kwakweli inaniumizaga akili sana.lakini ntajitahidi.mchana pia anakula na jion hula tunachokula na cerelac pia.kuna mud niliambiwa michezo mingi hutumia nguvu nyingi na kweli anacheza sana,
 
Back
Top Bottom