Msaada plz wana jf

Msaada plz wana jf

3698

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
23
Reaction score
1
Kwanza kabisa heshima mbele! Samahan wadau nilitak jua km ni tatizo au ni kawaida kwa mwanammke siku za kupat hedhi kubadilika badilika hapa na maana kuwa mwez huu anaweza pata hendhi tareh 15 mwez ujao anapata tareh 28 na ni day ipi kwa mwanamke kupat mimba.....naomb kuwasilisha natumain nipata jibu la kitendawil changu asanten
 
Back
Top Bottom