Msaada plz

Msaada plz

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Kuna kesi imetokea mtaani kwetu kuna bint wanadai kabakwa na jamaa flan na kuambumkizwa vvu. sasa je ushahidi gn unahtajika ili jamaa mbakaji aweze kufungwa
 
Tupe mazingira ya ubakaji ulivyofanyika.
 
yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi
 
Baada ya tukio alienda kureport polisi je ni mda gani kati ya tukio na ripoti ilipotolewa!?
 
yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi
Polisi wanajua nini cha kufanya kama vile kwenda hospitali kumfanyia vipimo ambavyo vitatumika katika kesi kama mtuhumiwa amekamatwa na kujua mazingira ya ubakaji wenyewe.

Back
Top Bottom