ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Kuna kesi imetokea mtaani kwetu kuna bint wanadai kabakwa na jamaa flan na kuambumkizwa vvu. sasa je ushahidi gn unahtajika ili jamaa mbakaji aweze kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe mazingira ya ubakaji ulivyofanyika.
yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi
Baada ya tukio alienda kureport polisi je ni mda gani kati ya tukio na ripoti ilipotolewa!?
Polisi wanajua nini cha kufanya kama vile kwenda hospitali kumfanyia vipimo ambavyo vitatumika katika kesi kama mtuhumiwa amekamatwa na kujua mazingira ya ubakaji wenyewe.yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi