ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Tupe mazingira ya ubakaji ulivyofanyika.
yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi
Baada ya tukio alienda kureport polisi je ni mda gani kati ya tukio na ripoti ilipotolewa!?
Polisi wanajua nini cha kufanya kama vile kwenda hospitali kumfanyia vipimo ambavyo vitatumika katika kesi kama mtuhumiwa amekamatwa na kujua mazingira ya ubakaji wenyewe.yani huyo mtuhumiwa alikua ana kawaida ya kumpa kazi za nyumbani huyo dada bas. mtuhumiwa anaish peke yake. Siku ya tukio huyo dada alibakwa ila hakupiga kelele ila baada ya tukio akaenda kuripoti polisi