Msaada plz

Msaada plz

Cherylbaponya

New Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Nna rafiki yangu ana tatizo la muwasho ukeni kutoa ute mzito wenye harufu vijipu vinavozuka na kupotea vinatoa usaha ...pia huenda hedhi baada ya kukaa mda mrefu sana hata miez sita hadi nane na hua yanatoka mabonge ya brown sana yatoayo harufu pia ambayo si ya kawaida ...haoni maumivu akijamiiana ila hutoka maji mengi mda wa tendo...pia mkojo wake hutoa harufu kal..nini afanye jamani...walimpima ultra sound hana tatzo tumbon...alipewa majira ameze na antibiotics ila bado tatzo lipo
 
Akapime magonjwa ya zinaa kama kaswende,kisonono na chlamydia!Akacheki na fungus pia ya kwenye uke!!
 
Akapime magonjwa ya zinaa kama kaswende,kisonono na chlamydia!Akacheki na fungus pia ya kwenye uke!!

Na awaulize hao/huyo anaye jamiiana naye hawapati tatizo?
Mungu amrehem.
 
Back
Top Bottom