Cherylbaponya
New Member
- Jan 21, 2014
- 4
- 0
Nna rafiki yangu ana tatizo la muwasho ukeni kutoa ute mzito wenye harufu vijipu vinavozuka na kupotea vinatoa usaha ...pia huenda hedhi baada ya kukaa mda mrefu sana hata miez sita hadi nane na hua yanatoka mabonge ya brown sana yatoayo harufu pia ambayo si ya kawaida ...haoni maumivu akijamiiana ila hutoka maji mengi mda wa tendo...pia mkojo wake hutoa harufu kal..nini afanye jamani...walimpima ultra sound hana tatzo tumbon...alipewa majira ameze na antibiotics ila bado tatzo lipo