K kitaz Member Joined Sep 17, 2013 Posts 17 Reaction score 1 Feb 3, 2014 #1 nimeenda kupima nkakutwa na typhoid,minyoo,malaria..Hivi kunywa dawa za minyoo+malaria+typhoid kuna tatizo?
nimeenda kupima nkakutwa na typhoid,minyoo,malaria..Hivi kunywa dawa za minyoo+malaria+typhoid kuna tatizo?
dr samg JF-Expert Member Joined Jul 22, 2012 Posts 292 Reaction score 163 Feb 4, 2014 #2 kitaz said: nimeenda kupima nkakutwa na typhoid,minyoo,malaria..Hivi kunywa dawa za minyoo+malaria+typhoid kuna tatizo? Click to expand... Dawa gani umepewa? Na minyoo ya aina gani umekutwa nayo?
kitaz said: nimeenda kupima nkakutwa na typhoid,minyoo,malaria..Hivi kunywa dawa za minyoo+malaria+typhoid kuna tatizo? Click to expand... Dawa gani umepewa? Na minyoo ya aina gani umekutwa nayo?