Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

Msaada Power bank kama hii nitapata wapi?

Agera 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
4,088
Reaction score
4,226
Habarini za majukumu nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana.

Je, kwa Sasa naweza pata? Niko Arusha.

2600mah-power-bank-portable-charger-for-samsung-galaxy-note-5-maxbhi-8-6-1.jpg
 
Habarini za majukumu Nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana..je kwa Sasa naweza pata? Niko arushaView attachment 2263391
Agiza Nairobi zimejaa.

Nenda Mezaruna zinapopaki shuttle..karibu na Impala au 40x40 lounge, bonga na madereva watakuletea ndani ya siku 2 unayo mkononi
 
Agiza Nairobi zimejaa.
Nenda Mezaruna zinapopaki shuttle..karibu na Impala au 40x40 lounge, bonga na madereva watakuletea ndani ya siku 2 unayo mkononi
Mezaruna ndo wapi mkuu
 
Back
Top Bottom