Msaada: Prado vs Nissan Murano

Prado sijui walizikosea wapi, zinadondoka sana katika safari ndefu, sio gari ya safari ile
Nadhan hapo kuna two factors... Ni kweli Prado zadondoka sanah..ila naweza ongelea mambo mawili
1.saikolojia ya dereva mwenyewe..kwa kuwa anaendehsasha PRADO anahisi yupo salama maana gari limesimama vyema anajisahau usalama wake anajiona kama anaweza fanya lolote barabarani..anaishia kupata ajali ya kizembe.

2.design ya gari..nadhan ile design.. Box kubwa lililoenda hewani na matairi juu kwa namna moja au nyingine kunakuwa na stability issues ndo maana apo kuna jamaa kasema usikwepe mashimo ghafla maana linahama barabarani..

Ila mwisho wa siku tu ni kila mtu kuwa mwangalifu barabarani kwa usalama wake binafsi na kuhakikisha usalama wa chombo chake
 
Mkuu sikushauri ununue prado, ni gari zinazokata balljoint sana na hilo tatizo limekua ni sugu, anytime linaweza kukusababishia ajali sio salama hayo magari.
 
I need to hear more about Nissan Murano....expert plse!
 
Murano itakufaa na kuhusu rough road itapita inasuspension nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri.. Inaoptions za Twd na Awd. Inanguvu na engine ni ngumu ingawa spea za Nissan zipo juu kidogo kwa ila ukifunga unasahau.
 
Murano itakufaa na kuhusu rough road itapita inasuspension nzuri na ulaji wake wa mafuta ni mzuri.. Inaoptions za Twd na Awd. Inanguvu na engine ni ngumu ingawa spea za Nissan zipo juu kidogo kwa ila ukifunga unasahau.
Good...
 
Aksante sana wadau maana ushauri mnaotoa hapa ni wa maana sana kwa wengi tusijua haya magari vyema.
 
Bila kusahau kuwa murano ina tege baya ls matairi ua nyuma kama rav 4
 
Prado gari nzuri sana unawez ukaifananisha kama na gari ndogo zile Rav4 za mwaka 1998 hazichuji ni kama Prado murano kwanza imekaa kike kike sana haiwezi shuruba
 

Chukua Prado kama wewe unamiliki gari moja. Advantage ni kwamba inachukua watu saba so ni nzuri ukiwa na familia vile vile. Murano ni watu watano tu. Halafu resale value ya Prado ni kubwa kuliko Murano, na ni rahisi kuiuza.
 
Prado gari nzuri sana unawez ukaifananisha kama na gari ndogo zile Rav4 za mwaka 1998 hazichuji ni kama Prado murano kwanza imekaa kike kike sana haiwezi shuruba
Hahaha. Kikekike du. Aksante mkuu.
 
Prado zinatatizo la kuchomoka matairi ya mbele nishaona Prado 3 tofauti zinafanya hivyo....
 
Nina Prado miaka 7 sijawahi kupata shida nayo just people give you a crapp bout that unit,
 
Honda crv rd5 vipi waungwana???nabarikiwa na namna mnavijadili hapa,Mbarikiwe mmmno, Nina Honda crv rd1 nimesafiri saana nayo ni Nzuri mmmno hii gari,sasa kuna mwenyewe uzoefu na rd 5 ya mwaka 2003/2002???tafadhali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…