ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 559
- 264
Nadhan hapo kuna two factors... Ni kweli Prado zadondoka sanah..ila naweza ongelea mambo mawiliPrado sijui walizikosea wapi, zinadondoka sana katika safari ndefu, sio gari ya safari ile
1.saikolojia ya dereva mwenyewe..kwa kuwa anaendehsasha PRADO anahisi yupo salama maana gari limesimama vyema anajisahau usalama wake anajiona kama anaweza fanya lolote barabarani..anaishia kupata ajali ya kizembe.
2.design ya gari..nadhan ile design.. Box kubwa lililoenda hewani na matairi juu kwa namna moja au nyingine kunakuwa na stability issues ndo maana apo kuna jamaa kasema usikwepe mashimo ghafla maana linahama barabarani..
Ila mwisho wa siku tu ni kila mtu kuwa mwangalifu barabarani kwa usalama wake binafsi na kuhakikisha usalama wa chombo chake