msaada printing black

msaada printing black

mnyamangeso

Member
Joined
Jun 27, 2010
Posts
33
Reaction score
1
habari, nina uncle wangu ameseti hp colorlaserjet printer kwenye stationary yake iwe inaprint black ink documents only. sasa cha kushangaza black toner ikiisha na yale mengine ya rangi yanaisha. je kuna njia ya kumsaidia huyu uncle maana anailalamikia kweli hii printer mpaka anataka kulia?
 
nimesahau. akireplace hiyo black catridge, printer inagoma kuprint mpaka areplace na yale mengine ndo inamprintia black doc zake.
 
Ni model gani hiyo printer? labda tunaweza kusaidia kidogo.
 
Hiyo inashangaza saana,kwani huwa ana print mwenyewe au ameajiri mtu?Kama vipi waweza kuta kuwa kuna mtu hu_print color while yeye anakuwa hayupo.
Ajaribu kuwaona HP Authorised Company pale Upanga wana -Expartise on HP Machines kuanzia Laptops,Servers,PC,and Printers
hawa jamaa wako karibu na njia ya kuingilia Mhimbili opposite na lile ghorofa jipya along United Nations Road karibu na U-CARE phamarcy wataweza masaaidia.
 
habari, nina uncle wangu ameseti hp colorlaserjet printer kwenye stationary yake iwe inaprint black ink documents only. sasa cha kushangaza black toner ikiisha na yale mengine ya rangi yanaisha. je kuna njia ya kumsaidia huyu uncle maana anailalamikia kweli hii printer mpaka anataka kulia?

HP wana support websiet nuzir sana. Ina information na hata video za mambo mengi

Jaribu kutembelea HP Color LaserJet CP1515n Printer - HP Customer Care (United States - English)

  • unaweza ku Download manual lazima itakuea helpful.
  • Angalia kipengele cha watch and lern video ya kubadlisha toner aone kama alikuwa anfuata hatua vizuri. Inawezeka kuna toner za rangi hatoi seal.
 
Back
Top Bottom