Msaada: Printing Company

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari Wadau. Ninapenda sana hapo baadae nifungue kampuni ya printing itakayotoa huduma zifuatazo: Kuprint banners,calenders,magazines,billboards,tshirts,n.k pamoja na kufanya graphic designing. Naomba kujua mchanganuo wake uko vipi hasa kuhusu bei ya mashine ya kuniwezesha kuprint magazines, posters na banners and even large billboards.

Thanks in advance.
 
Ngoja waje..ila ukifungua nipe shavu nijishkize tuu siunajua hali teteee
 

Kiongozi, hebu ni pm tuchonge
 
subiri watakuja kukusaidia lakini naona ungeanza hata leo kama unao mtaji
 
Ukianzisha naomba ajira mkuu mi ni mkali sana wa Graphics.
 
Keep it up brother, soko lipo pazuri na lina mahitaji makubwa......am in that field too.....usikawie anza sasa.
 
Mie nmehamasika na sredi na watu wanavyo changia, i see a lot of support i can have.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…