Habari Wadau. Ninapenda sana hapo baadae nifungue kampuni ya printing itakayotoa huduma zifuatazo: Kuprint banners,calenders,magazines,billboards,tshirts,n.k pamoja na kufanya graphic designing. Naomba kujua mchanganuo wake uko vipi hasa kuhusu bei ya mashine ya kuniwezesha kuprint magazines, posters na banners and even large billboards.
Thanks in advance.
Thanks in advance.