ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Mkuu kumbuka yeye kaomba ushauri wa taratibu za kufungua kituo na sio utaratibu wa kuwashauri au kuwapa watu msaada wa kisheria!Kama hujui hata taratibu za kufungua kituo cha ushauri wa kisheria utawezaje kuwashauri watu wenye issues nzito za kisheria? huwezi kua mshauri kwa style hiyo.nakushauri fanya kazi nyingine uwezo wa kuwashauri watu ktk mambo ya sheria huna ukifanya hivyo utawaingiza watu kwenye matatizo.